Nilimshikisha adabu hadi leo kanikoma!

Tabia ya kutongoza vitoto vya shule gia zao mnazijua! Hawaelewi sound, wanaelewa chipsi, lift vijisenti na vitu kama hivyo na wala si ubishoo uliotaka kuunesha kwake pale mwanzo! Lakini jihadhari kuna watu wanaozea jela!
 
Shukrani mkuu

Bazazi hajali iwapo uzi ni wa kutunga au la! Bali ni kitendo cha kumshikisha adabu na kumwonyesha mwanamke kuwa heshima na ubora kwa mwonekano wa kwanza wa mwanaume haionekani usoni au mwilinli bali katika mifuko ya nguo zake. Ubora wa pili ni kazi yake katika shughuli kunako faragha. Ukikosa heshima katika vitu vyote viwili ni balaa tupu. Siungi mkono kumpiga mwanamke kwa sababu iwayo yote.
 
kichaa ukimkabidhi rungu kwenye nyumba ya vioo unatarajia nn?
 
Ni utoto unakusumbua angalia utaishia pabaya. Sitegemei mtu mzima na akili yake timamu anaweza kufanya uliyoyafanya. Kumbuka unapo approach mwanamke tegemea mambo matatu: kukubaliwa, kukataliwa na kutukanwa. Hiyo ndiyo habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…