MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
Ebana leo nimekumbuka mwaka 2022 nikiwa mgeni mkoa x. Nilienda mkoani humo ili kuanza kazi katika kampuni flani, nilipofika niliwakuta ma brothermen na maisha yao wapo gud so mbaya wanaishi nyumba nzuri na viusafiri vya mchongo.
Nimefika nipo mgeni simjua mtu yoyote zaidi ya mwenyeji wangu ambaye ndo boss wangu katika kazi hii nayo fanya.
Nilifikia ofic flani ya jamaa ambaye ni rafiki wa mwenyeji wangu, ofcoz nilikuwa nimetokea bush nimepigwa na life kwahyo hata kimuonekano nilikuwa choka mbaya.
Nilifika mida ya saa 5 asubuhi nikafikia ofcn Kwa mshikaji, nimekaa pale mchana ukafika nikapiga menyu nikaendelea kukaa pale namsubiri mwenyej arudi (alienda kumuattend mteja).
Jamaa alirudi kama saa12 jioni, akanambia kwake yupo na wife na amepanga rum moja tu na sebure akaona si vyema kulala sebureni akanipa pesa ya lodge na balansi kidogo maana nilikuwa cheee alinipa kama 50k.
Akanisindikiza lodge nikalala, kesho asubuhi nikaamkia town palepale ofisin kwa jamaa yao. Jamaa alikuwa anadhani kwamba wife wake atasepa kesho yake la haulaa akapata dharula ikabidi asalie pale mkoani Kwa kama wiki hivi mbele.
Kuendelea kulala lodge siyo kweli kwasabab destination yangu haikuwa pale town ila nilitakiwa kupewa training Kwa wiki moja them nihamie kituoni kwangu (wilaya x).
Jamaa akaona anikonekt na msela wake mwingine ambaye ni mfanya biashara mzuri tu nikaanza kulala kwake.
Nililala kama wiki moja na sehem then nikahamia wilayani.
Wakati naondoka jamaa akasema anipe godoro nikaanze nalo maisha, lilikuwa 4*6 zuri tu nikalichukua nikasindikizwa na boss wangu mpka wilaya husika nikatafuta chumba cha kuanzia maisha nikatandika godoro chini nikaanza maisha.
Huyu jamaa alinipa godoro ni kind sana na always atabakia katika akili yangu maana ni mtu na nusu anakipato chake ila haringi, alinisaidia sana ukizingatia nilikuwa nahitaji sana msaada Kwa wakati ule kwahyo alinifanya nijione kama nipo na brother wangu wa dam.
Baada ya kama wiki mbili hivi mmoja kati ya majamaa ambao ni miongoni mwa crew ya wale washkaj nilowakuta town akapata safar ya kuja wilayani ambako mimi nilikuweko.
Jamaa akanichek nikampokea, nikaona so kesi kwasabab ni mshikaji haijalisha hata kma kwangu bado maisha mabovu nalala chini hakuna chochote ndani bado sijajipanga basi nikaona so kesi nimstiri alale kwangu mpk asiku atakapomaliza kazi zake asepe.
Tulilala pale kwangu mpka kamaliza mishe zake karudi mkoani, kifupi jamaa nilimpokea na kumtreat vile ambavo mimi niliweza.
Alikuja tena mara ya pili baada ya wiki moja tena akalala kwangu then akasepa, kumbuka mazingira alokuwa anayakuta ni ya kulala chini yani godoro tu hakuna kitanda wala makorokoro mengine. Ila nilikuwa na kizuria changu kikubwa kwahyo mimi nilikuwa nalala kwenye lile zuria then yeye namuach alale kwenye godoro so vizuri kubanana kwnye 4*6 hafu wanaume na ndevu zetu.
Baada ya kama mwezi na nusu hivi nikapata safar ya kwenda mkoani, nikafikia kwa yule msela alonistiri kipindi nilipokuwa mgeni.
Nisingeweza kufikia kwingine kwakweli msela ni kind na ana ubinadamu.
Sasa baada ya kufunga biashara zake tukawa tunarudi home kwenye gari msela akaanza kuniuliza hivi flani (yule msela alokuja wilayani) alikuwa analala kwako? Nikamjibu ndio, akanambia yule msela nimemuona mjinga sana. Akaendelea.....jamaa kaja kunambia kwamba unaishi maisha magumu unalala chini umetandika zuria na godoro tu.
Jamaa akanambia mambo mengi sana ila akanambia kwamba alimwambia msela kama yeye anamaisha mazuri na anauwezo ni bora angeenda lodge nzuri akalala sehemu nzuri lakini kukubali kulala Kwa msela ambaye alikulaza chini na wewe ukakubali tena mara mbili it shows kwamba unahali ngumu tu tena labda zaid yake. Anasema mwamba alikasirika akaona kama vile msela kaamua kumtolea uvivu na kumchana ukweli.
In fact, jamaa alinikuta ndo naanza life nilikuwa bado nipi rum moja na aina chochote.
Msela alirudi tena nikiwa nipo vizuri lakini nilimkataa nikamwambia mke wangu kaja na atakaa Kwa mwezi na zaid kwahyo atafute pakulala. Jamaa alipoa sana nahisi aligundua kuwa yale maneno yamenifikia, mwamba kila alipokuwa akija wilayani alikuwa analala guest houses vyumba 15k ilinujue mwamba ni arrogant na hakuwa na kitu.