Nilimsomesha chuo akaniacha na kwenda kuolewa mke wa pili

Nimeguswa moyo utadhani ni mm, mkali MUNGU atakulipia lazima
 
Pole sana ila malipo ni hapahapa duniani. Yakimkuta atakutafuta ila sijui utamfanya nini
 
Mara nyingi wanaoachwa baada ya kusomesha demu ni wachimba chumvi ambao bado wanajitafuta.... mtu maisha yako magumu halafu unajipa majukumu usiyoyaweza? Kuna demu atasomeshwa na Diamond halafu baadae ageuke? Vijana eleweni mnatakiwa muwe na pesa mingi sana mambo mengine yatawafuata yenyewe.
 
Sasa ulikua unataka kuoa bomu
 
Mkiambiwa wachumba hawasomeshwi hamuelewi. Ngoja yawakute
 
Nmeishia hapo uliposema bodaboda alimtafutia demu mchogo TRA
 
... mpende huyo mwanamke, maana ameukamilisha uanaume wako!
Wanaume wengi wanaofanikiwa kirahisi na mwanamke wao wa kwanza hukosa hili somo la nadra na muhimu maishai ambalo KUSIMULIWA HAKUTOSHI!
UMEJIFUNZA KUJIPENDA WAKATI UNAPENDA!
 
Hivi wanaume mtaacha lini ujinga aisee lohhh Kuna mwingine Huku alijinyonga kisa demu wake aliliwa

Alijinyima akamsomesha Dem kajiaminisha kwake asilimia 100, mwisho wa siku kamfuma Dem analiwa naa mwanaume mwingine jamaa kajiua. Afu mwanamke Bado anakula maisha *****

Wanaume acheni ujinga ***** embu kueni wajanja tumieni na akili za kuzaliwa.
 
Ina swiii? Tafuta nawe aliyesomeshwa na boya uoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…