Nilimtembelea rafiki yangu

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Nilimtembelea rafiki yangu mpendwa. Mkewe akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama tele.

Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejazwa wali na kachumbari tu.

Baada ya kula nikamuuliza rafiki yangu, *"kulikoni watoto wale wali na kachumbari tu ilhali sisi tumekula minyama kibao?"*

Akanijibu kwa kujianini, *"sasa unategemea nifanye nini wanaposema hawali PANYA?"*

*Bado natapika*
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80][emoji80]
 
[emoji3][emoji3][emoji11][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Siku nyingine ukila usiulize amsha zako tu usije kuambiwa gharama za chakula n laki moja ukafikiri mgeni hatozwi
Wanatozwa kaka kidizaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…