Nilimuacha kwa sababu ya kupenda "kuzibuliwa mtaro"

Hivi nyie wanaume mnamshambulia mwenzenu vile kawa mkweli ?

Nyie hamfanyii eti eee?

Mwogopeni Mungu.

Wapo wako kwenye ndoa na wanapiga shoo ya mtaroni.

Shauri zenu mtaziba mkojo.
 
Baada ya kula mtaro ndo unaita Ni ufiraun!! Kwann hukukataa mwanzo Kama kweli we siyo mdau wa sodoma? Hapo unayo dhambi mbili ya uzinifu na ufiraji
 
"Binadamu Bwana mazuri yote kwetu".. andiko lako lote umejitahidi kujiwekea kinga na kumchamfua Billian wa watu daah...so painful..yaani umejifanya mwema mpaka basi ila Billian wa watu jamani tumeivuruga mpaka basi.
Mungu mlinde Mwanangu wa kike asikutane na wanaume wa aina hii...
 
Mkuu dm namba fasta
 
Hivi nyie wanaume mnamshambulia mwenzenu vile kawa mkweli ?

Nyie hamfanyii eti eee?

Mwogopeni Mungu.

Wapo wako kwenye ndoa na wanapiga shoo ya mtaroni.

Shauri zenu mtaziba mkojo.

Dah ila wanawake mnamioyo yaani kwelimgegedo kule sii maumivu makali sana
 
haya mambo hufanyika sirini........kila mmoja hapa atajifanya...mie sipoo, mie sipo.......kila mmoja na moyo wake.......na corona tumeambiwa imeisha na mabusu motomoto...za kuambiwa changanya na zako......
 
"Huyu Dada kimuonekano Ni mpole Sana,halafu hanywi pombe na Ni mzee wa kanisa.Kiufupi huwezi mdhania hata kidogo kuwa anaweza fanya ufirauni huo"


Hata wewe hatuwezi kukudhania ulifanya huo ufirauni
Ajabu sana wanadamu!
Yeye anajitoa kama vile siyo mhusika aliyezibua ndogo!
Anajitenga wakati yeye ndiye aliyetenda.
 
kuzibua mitaro hajawahi kumuacha mtu salama.........ukianza ujue umenasa humo humo..mweshowe na wewe utaanza kula mashoga.....please dont try this at home.............................
 
mara kadhaa nimewekwa mtegoni lakini mara zote huwa nachomoa...hiyo kitu ilafanya mji wa sodoma na gomora kuangamizwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…