wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Nilinunua wifi adapter zinabagua kuunga wifi, mfano nikiwasha hotspot ya simu inaunga lakini nikitumia touter mifi inakataa kuunga inandika cant connect to this network.
Nilitafuta sana solutions kuanzia kununua adapter nyingine ya pili, ku reset network, kusafisha windows, n,k lakini wapi.
Leo hii ndio niliweza kusolve tatizo.
link ya software >hii hapa
hilo file inabidi uli extract, fungua file la setup.exe, ikimaliza computer ita restart
vitu vingine vipo kwenye video