Nilinusurika kuambukizwa UKIMWI baada ya kufanya mapenzi bila kinga na muathirika

Mimi siwezi pata Hilo gonjwa ,nilikuwa Moto sana,sasa Yesu ameniokoa namtumikia
 
Next time ukiuza mechi utumie PEP
 
Pole sana mkuu
 
Sina hakika sana kama Ukimwi upo,aisee kuna jamaa yangu msukuma anatomba kila siku wanawake wapya,wake za watu,ma bar maid,wanafunzi, wamama wa kufua,tena kavu,nawaza inakuwaje ni miaka 3 tangu namfahamu jamaa hana ngoma
 
Umewahi kumpima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…