Nilinusurika kufumaniwa ukweni nikimla mpenzi wangu

Nilinusurika kufumaniwa ukweni nikimla mpenzi wangu

Mtotofaita

Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
13
Reaction score
11
Nakumbuka ilikuwa siku ya Boxing Day miaka ya nyuma kidogo enzi hizo nikiwa sekondari kidato cha nne nilikuwa na mpenzi jirani yaani hatua chache kutoka nyumbani kwetu. Kutokana na kutamani kumgegeda kwa kipindi kirefu na nilikuwa nikikosa nafasi kama unavyo fahamu tena kishule shule pesa tu ya kuingilia nyumba ya wageni ilikuwa ni mtihani.

Basi buana siku hiyo ikapatikana nafasi finyu sana ya wazazi wa aliyekuwa mpenzi wangu kutoka usiku, ikabidi manzi yule anijuze basi nikaahidi kwenda usiku na kama ilivyo ada mnamo saa tano usiku nikaruka geti la home nikaenda kwakina dem nkakuta kaacha milango yote wazi nkafanya kuingia akaniongoza hadi kwenye chumba chake.

Sikutaka siasa muda wa kazi nikasaula moko moko na yeye nikamsaula harakati za mageuzi zikaanza shika hapa nishike pale, nyonya huku ni chezee kule kidogo game likaanza, katikati ya game mara tukasikia hodi kwa sauti kubwa maana tulifungulia mziki eeeh bwana we nilihisi nimeloa jasho mwili mzima nikifikiria mlango wa kutokea ndo huo huo mmoja na wazazi wakirudi milango inapigwa lock nlitamani kulaumu kwanini wameghaili Safari au ndo arobaini za mwizi zimetimia, ilikuwa ni patashika nguo kuchanika nlihofia kama ningeshikwa ilikuwa ni aibu kwani mtaani nlikuwa nikionekana kama mtoto mstaarabu yani mfano wa kuigwa kumbe nlikuwa muharamia namba moja mfanya maasi usiku ila nashukuru hawakuniona japo nilitoka kwa miujiza tu hadi kufika nje nilipiga goti kushukuru nikaahidi sitorudia tenaa.

Kama yamewahi kukukuta pia katika harakati za uja tupe kisa chako mimi nmefika tamati
 
Kwa hiyo nini maana ya hii hadithi kama huelezei uliponyoka vipi?

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
😂😂😂mkuu kwahiyo ulihitaji nikueleze kuwa nlijificha nyuma ya pazia au nliingia ndani ya pipa? Nlivyosema nliponyoka kimazabe kwa wazee wa escape plan wanaelewa kuwa kuna mbinu za kkvita hatarishi zilitumika😂
 
Yaan ukweni halaf kwny story unasema ulivyokua seko mbona sielewi🤣🤣🤣
 
Ndugu mwandishi yani kama ni essay umeeleza introdakshen tuu

Sasa main point ni escape plan yako. Tafadhali ifafanue kwa manufaa ya kizaz kijacho
 
Ulianza ngono mdogo sana....
Sio vizuri kusifia ujinga
Nikweli mkuu lakini pengine kwa kidato cha nne kwa miaka ile si mapema sana kama unavyotafsiri kwani watoto wa siku hizi ata wa shule ya msingi utasikia nao wana wapenzi kwakweli ni hatari sana tuchunge vijana wetu
 
Nikweli mkuu lakini pengine kwa kidato cha nne kwa miaka ile si mapema sana kama unavyotafsiri kwani watoto wa siku hizi ata wa shule ya msingi utasikia nao wana wapenzi kwakweli ni hatari sana tuchunge vijana wetu
Miaka hatari ilikuwepo tu
 
Hakuna kipindi ambacho sio hatari....
Ni kweli lakini kipindi cha umri mdogo huwa hatari zaidi kwani hakuna uelewa wa baadhi ya mambo kama uzuiaji wa magonjwa ya ngono na mimba zisizotarajiwa na madhara mengi ya kibaiolojia ndiomaana hata serikali na sector za afya hupiga vita mapenzi katka umri mdogo kiongozo najua unaelewa hapo
 
Back
Top Bottom