........JE KUNAMAPENZI HAPO AU NI MAZOEA NDO YANAYOMFANYA ANIPIGIE?
Thanks,Kweli hapo kwenye red umepatia,kila siku anakulalamikia na unarudia hata kama we ni mrembo wa aina gani lazima atakumwaga tuHuyu anakupenda ila kuna vigezo ameona huna ili uwe mke, unajua kuna vitu hawa wakaka wanaangaliaga kwa mtu ili awe mke, na kama huna haijalishi amekupenda kiasi gani anakumwaga, badili tabia fulanifulani ambazo amekuwa anakulalamikia, ongeza heshima kwa watu wanaowazunguka, namay be kaona humuonyeshi mapenzi ya kweli, vinginevyo acha kupokea simu, unazidi kumpa nafasi ya kukuumiza roho, mpe sababu za kuku miss na kujua umuhimu wako kwake
ni mwezi wa nne tangu niliempenda abadilike na kunitamkia kwamba hana plan yakufunga ndoa na mm tena.ila kinachonipa mawazo nipale nnapokua namuwaza kila siku nakumkumbuka kupita kiasi.pia upande wake hapiti siku moja ikizidi sana mbili bila kunitafuta kwenye cmu..JE KUNAMAPENZI HAPO AU NI MAZOEA NDO YANAYOMFANYA ANIPIGIE?