Wana-The Gunners wenzangu,niliogopa kuangalia mechi yetu dhidi ya Bayern kwa kuhofia kuwa disappointed lakini Arsenal have proved me wrong.Nilivizia kwenye Livescore na kukuta matokeo yaliyonishangaza.Msingi wa kuhofia disappointment ni perfomance yetu kwenye zile mechi mbili za awali.