Jambo Tz JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 670 Reaction score 203 May 2, 2017 #1 Nilianzisha uzi huo nikiwa nahitaji msaada wa mawazo kwa wadau ila ni watu wawili tu walo changia Sa nashindwa kuelewa ni wataalam hawapo ama kuna namna natakiwa kufanya kubust topic yangu Nazidi kuwashukuru kwa wale wanao jitokeza kusaidia watu Natanguliza Zangu shukrani
Nilianzisha uzi huo nikiwa nahitaji msaada wa mawazo kwa wadau ila ni watu wawili tu walo changia Sa nashindwa kuelewa ni wataalam hawapo ama kuna namna natakiwa kufanya kubust topic yangu Nazidi kuwashukuru kwa wale wanao jitokeza kusaidia watu Natanguliza Zangu shukrani
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,497 Reaction score 16,180 May 2, 2017 #2 tumia kiswahili chepesi mkuu *jimai* ndio nini?
D Dizkiz Member Joined Feb 11, 2017 Posts 31 Reaction score 7 May 2, 2017 #3 Jimai ni tendo la ndoa mkuu.
kipozi JF-Expert Member Joined Jan 23, 2015 Posts 1,315 Reaction score 1,702 May 2, 2017 #4 Meza vitunguu saumu kila siku vinasaidia sana
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,248 Reaction score 3,663 May 2, 2017 #6 tatizo ni lugha uliyotumia kuwasilisha ujumbe. tumia kiswahili cha kawaida tu eg kugegeda nk
mwampepec JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 487 Reaction score 237 May 2, 2017 #7 Wataalam wapo naona wanaanda mhitasari
314 JF-Expert Member Joined Aug 29, 2016 Posts 589 Reaction score 910 May 2, 2017 #8 Fanya mazoezi ya kegel ili urudishe mzunguko wa damu katika viungo vya uzazi Ila kama ungefafanua zaidi unashindwa vipi na ulianza vipi watu watakusaidia
Fanya mazoezi ya kegel ili urudishe mzunguko wa damu katika viungo vya uzazi Ila kama ungefafanua zaidi unashindwa vipi na ulianza vipi watu watakusaidia
Mtengwa II JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 860 Reaction score 1,421 May 2, 2017 #9 Ungekuwa wazi ungeshapata jibu kitambo sana!
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,698 May 2, 2017 #10 Mambo ya tiba hayaitaji mafumbo mafumbo!
Titans JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 1,459 Reaction score 3,369 May 2, 2017 #11 Funguka mkuu, unatumia ID fake kwa hiyo usiogope. Sema kama kugegeda, je mashine haijawahi simama kabisa? au unakojoa baada ya sekunde? au unashindwa rudia bao la pili? Funguka watu wengi hatuelewi jimai mpaka ulivosema maana yake kwenye huu uzi.
Funguka mkuu, unatumia ID fake kwa hiyo usiogope. Sema kama kugegeda, je mashine haijawahi simama kabisa? au unakojoa baada ya sekunde? au unashindwa rudia bao la pili? Funguka watu wengi hatuelewi jimai mpaka ulivosema maana yake kwenye huu uzi.
hewizet JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 2,418 Reaction score 1,535 May 2, 2017 #12 una shida halafu unaweka misamiati mkuu?? usiogope weka mambo hadharani mkuu iwe rahisi kwa wachangiaji
una shida halafu unaweka misamiati mkuu?? usiogope weka mambo hadharani mkuu iwe rahisi kwa wachangiaji
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 May 2, 2017 #13 oooooooooooop! ina mama wewe ni hanithi au hiyo "jimai" maana yake ni nini?
martin77 Member Joined Jan 25, 2017 Posts 65 Reaction score 14 May 2, 2017 #14 Nitafute kwa namba hii 0755200845
martin77 Member Joined Jan 25, 2017 Posts 65 Reaction score 14 May 2, 2017 #15 Nitafute kwa namba hii 0755200845
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 May 2, 2017 #16 Planett said: tumia kiswahili chepesi mkuu *jimai* ndio nini? Click to expand... usengerema ndio jimai
Planett said: tumia kiswahili chepesi mkuu *jimai* ndio nini? Click to expand... usengerema ndio jimai
A Amoury94 Member Joined Mar 14, 2013 Posts 89 Reaction score 37 May 2, 2017 #17 we jamaa unazingua Mficha uchi hazai eleza unashindwa vipi tukupe mikakati ukawagegede fafanua unashindwa vp???????????
we jamaa unazingua Mficha uchi hazai eleza unashindwa vipi tukupe mikakati ukawagegede fafanua unashindwa vp???????????
A Amoury94 Member Joined Mar 14, 2013 Posts 89 Reaction score 37 May 2, 2017 #18 Bujibuji said: usengerema ndio jimai Click to expand... Duh.......😉
Mzee wa Tuyuri Member Joined Apr 22, 2017 Posts 11 Reaction score 2 May 2, 2017 #19 julisha kwamba jogoo hapandi mtungi?
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 May 2, 2017 #20 Umelalamika watu hawajajibu uzi wako watu wamekuja kukukujibu halaf umeyeyuk