Niliomba nafasi ya masomo chuo kikuu huria mwaka uliopita. Tatizo nimekosa orientation kutokana na matatizo. Hatua gani nifuate?

photi17

Member
Joined
Sep 29, 2023
Posts
31
Reaction score
50
Niliomba nafasi ya masomo chuo kikuu huria mwaka uliopita kwa nafasi ya masters na Mungu alivyo mwema nimepata nafasi.

Tatizo nimekosa orientation nimekosa pia uwezo wa kujiunga kwa Sasa kutokana na matatizo yaliyonikuta mwaka uliopita.

Naomba mwenye ujuzi naweza kupostpone japo sijajua hatua gani nifate na sijafanya chochote kwenye admission natamani kuchukua hatua iyo kulinda gharama na nafasi niliyoomba. Emergency
 
Nenda kwenye regional centre yao kwenye mkoa ulipo watakupa
maelekezo.
 
Back
Top Bottom