The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mi ndo yule nlyekuongeza korosho ... Nkakupa na namba yangu ukanipigia tukakutana ... Tukaenda kununua watoto tukakutA hawapoAhahahahahah kwa hiyo naongea na marehemu jamani
Hahahahaa!Hapana mamy nlkufa jana
Chit chat hii ice elewa tuMada yako umeingiza vitu vingi sana na kuvichanganya kwa pamoja mpaka inashindwa kueleweka nini hasa lengo la hii thd?!
Ahahahahaha we umekufa sio weweeeMi ndo yule nlyekuongeza korosho ... Nkakupa na namba yangu ukanipigia tukakutana ... Tukaenda kununua watoto tukakutA hawapo
Ni mimi mkuu nilikufa juz nkafufuka jana ... Hafu mkuu unaamin mungu yupo ?Ahahahahaha we umekufa sio weweee
mungu hayupo ila Mungu yupoNi mimi mkuu nilikufa juz nkafufuka jana ... Hafu mkuu unaamin mungu yupo ?
Usiku mwema mkuumungu hayupo ila Mungu yupo
Baba swalehe ni marehemu jamani
Kumbe eeeh! unajua niliingia kwa njia ya "What's new" sikujua hata nipo jukwaa gani!Chit chat hii ice elewa tu
Tukaribishane huko Mwanza jamani,huyo samaki dahAcha tu watu wa dar ndivyo walivyo ,we ukija mwanza tuchekiane tukanywe bia za buku mpaka tukojoee
Oooh sawaKumbe eeeh! unajua niliingia kwa njia ya "What's new" sikujua hata nipo jukwaa gani!
Have a good day.
Unaenda kuprint pesa nikufate?Usiku mwema mkuu
Siku nyingine ukija,nitafuteNikiwa Dom utasikia Demiss wajameni ukuje Dar ukishafika huku hawajibu pm wanaogopa wanakaa Tandale kwa mtogoleee nitawakimbia na kuchekaa wakati wallah mm sina hayo mawazo.
Karibu ule samaki mtu chakeTukaribishane huko Mwanza jamani,huyo samaki dah
Hamna naenda kufua nguo za mtoto mama ake hayupoUnaenda kuprint pesa nikufate?
Aseee, wengine tunaozoefu na train tuYes nimelipanda jana,mara nyingi napenda fast jet ila li boeng lizuri bana
Eeee pole baba swalehe tukuchangie kununua washing machineHamna naenda kufua nguo za mtoto mama ake hayupo
Sawa nitakaribia ,ngoja niulizie tiketi ya treni ( gari moshi)Karibu ule samaki mtu chake
Da unavituko wewezilikuwa tamu nitazitafuta niwe natafuna niongeze nguvu za kike