Niliomba niongezewe viburudisho

Mama Sabrina naomba kuuliza maswali mawili:

1. Ni nauli kiasi gani toka Dar hadi mwanza (ikiwezekana kama uliulizia return ticket)
2. Iliwachukua muda gani toka Dar hadi Kili na Kili hadi Mwanza

Asante sana ila ogopa Bia maana zinaleta vitambi
 
Subiri ninywe kwanza bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…