Niliona kuminywa kwa Uhuru wa Maoni mwaka 2022

Niliona kuminywa kwa Uhuru wa Maoni mwaka 2022

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Ndugai alikuwa Spika wa kwanza kujiuzulu kama sijakosea, na alijiuzulu baada ya kuongea kitu kuhusu nchi kuuzwa kwa sababu ya madeni, nilipata wasiwasi kwamba kama upo chama kimoja na Rais basi huruhusiwi kuwa na maoni tofauti,niliona kuminywa kwa Uhuru wa maoni.

IMG-20221230-WA0271.jpg
 
Ndungai hakujiuzulu sababu ya kuminywa Kwa Uhuru..
Alijiuzulu sababu ya "collective responsibility"..
Ndungai ni member wa Cc ya chama kilichopo madarakani...anapaswa kupeleka maoni yake kwenye chama badala ya kupimana ubavu na mwenyekiti wake na kutafuta umaarufu WA bei rahisi Kwa wananchi...
 
Kwa comment hii uzi ufungwe
 
Uhuru uliominywa kuliko 2015-2021 nchi ilipokuwa inatawaliwa kidikteta?
 
Back
Top Bottom