Ndungai hakujiuzulu sababu ya kuminywa Kwa Uhuru..
Alijiuzulu sababu ya "collective responsibility"..
Ndungai ni member wa Cc ya chama kilichopo madarakani...anapaswa kupeleka maoni yake kwenye chama badala ya kupimana ubavu na mwenyekiti wake na kutafuta umaarufu WA bei rahisi Kwa wananchi...