Nilionya mapema hapa JF asianze Kipa 'mbovu' Aishi Manula, naona 'Mnanipuuza' hivyo leo tusilaumiane kwa 'Kipigo' akidaka Yeye

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kipa aliye Fiti 99.9% kwa sasa ni Mwarabu Ayubu Lakred na kutokana na Urababu wake na ikizingatiwa leo tunacheza na Waarabu Wenzake Kiutamaduni na Kinujumu akidaka Yeye atatusaidia na Mechi kuwa Salama zaidi Kesho.

Akidaka tu Aishi Manula ambaye Kiufundi na hata tu kwa Kumuona bado hajawa Fiti hata kwa 50% ila Yeye kwakuwa anataka Sifa na kuweka Rekodi ya Kuicheza hii Mechi anajifanya yuko Fiti huku akibebwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC ( anaokula nao 10% yake ) ili Leo apangwe Yeye kudaka.

Hivyo wana Simba SC tuvumilie kwa Kipigo Kitakatifu na cha Kishakubela ( cha Kikatili ) ambacho tutafungwa leo na Al Ahly SC kwa kuamua Kumpanga Kipa ambaye GENTAMYCINE simkubali kutokana na Madhaifu yake Uwanjani na kwa Kutuumiza mno Mechi za Yanga SC kwa kuwa Kwake Duka na pia Yeye na Wachezaji Wenzake Kutuumiza katika ile Mechi yetu ya CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy FC wakiwa pale Samaki Samaki Mlimani City na Simba SC Kufungwa na Kutolewa Mashindanoni.

Na tukifungwa tu mtatutambua leo.
 
Akidaka tu Aishi Manula ambaye Kiufundi na hata tu kwa Kumuona bado hajawa Fiti hata kwa 50% ila Yeye kwakuwa anataka Sifa na kuweka Rekodi ya Kuicheza hii Mechi anajifanya yuko Fiti huku akibebwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC ( anaokula nao 10% yake ) ili Leo apangwe Yeye kudaka hivyo wana Simba SC tuvumilie kwa Kipigo Kitakatifu na cha Kishakubela ( cha Kikatili ) ambacho tutafungwa leo na Al Ahly SC kwa kuamua Kumpanga Kipa ambaye GENTAMYCINE simkubali kutokana na Madhaifu yake Uwanjani na kwa Kutuumiza mno Mechi za Yanga SC kwa kuwa Kwake Duka na pia Yeye na Wachezaji Wenzake Kutuumiza katika ile Mechi yetu ya CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy FC wakiwa pale Samaki Samaki Mlimani City na Simba SC Kufungwa na Kutolewa Mashindanoni.

Na tukifungwa mtatutambua leo.
Mtasemaa tuu,yaanii hapo bado mpaka mseme leo
 
Kipa aliye Fiti 99.9% kwa sasa ni Mwarabu Ayubu Lakred na kutokana na Urababu wake na ikizingatiwa leo tunacheza na Waarabu Wenzake Kiutamaduni na Kinujumu akidaka Yeye atatusaidia na Mechi kuwa Salama zaidi Kesho.

Akidaka tu Aishi Manula ambaye Kiufundi na hata tu kwa Kumuona bado hajawa Fiti hata kwa 50% ila Yeye kwakuwa anataka Sifa na kuweka Rekodi ya Kuicheza hii Mechi anajifanya yuko Fiti huku akibebwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC ( anaokula nao 10% yake ) ili Leo apangwe Yeye kudaka.

Hivyo wana Simba SC tuvumilie kwa Kipigo Kitakatifu na cha Kishakubela ( cha Kikatili ) ambacho tutafungwa leo na Al Ahly SC kwa kuamua Kumpanga Kipa ambaye GENTAMYCINE simkubali kutokana na Madhaifu yake Uwanjani na kwa Kutuumiza mno Mechi za Yanga SC kwa kuwa Kwake Duka na pia Yeye na Wachezaji Wenzake Kutuumiza katika ile Mechi yetu ya CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy FC wakiwa pale Samaki Samaki Mlimani City na Simba SC Kufungwa na Kutolewa Mashindanoni.

Na tukifungwa tu mtatutambua leo.
Adake ama asidake hiki kikombe amkiepuki, kipigo kwenu ni Kama israeli na roho ya mtu!
 
Kwa GUBU tu, jamaa kajaaliwa! Hana jema! Likifanywa hili, atasema lingefanywa lile! Likifanywa lile, atasema sio lile!
Pamoja na kujua kuwa Jamaa ana Gubu na huvutiwi nae lakini bado Kutwa tu unamfuatilia hapa JamiiForums. Nikiwadharau na Kuwaiteni Wapumbavu msiwe mnachukia sawa?
 
Hoja yako ina nguvu ni bora apangwe yule dogo kuliko Manula ambae hajacheza mechi nyingi waarabu ni watundu sana huyo Ayub hayupo sawa toka afanye makosa mara kadhaa amekua hajiamini kabisa mimi nataka awake kipa ambae hamtatoa sababu mkubali matokeo ya Mpira tuu..
 
Hebu nitokee hapa Mnafiki Mmoja Wewe. Lile Ombi lako la Kipumbavu kwa Moderators dhidi yangu lilifanyiwa Kazi?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Back
Top Bottom