Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena