Nilipata Mkopo lakini sikuripoti chuo. Je, wataweza kunipa mkopo tena?

Nilipata Mkopo lakini sikuripoti chuo. Je, wataweza kunipa mkopo tena?

naleas

Member
Joined
Apr 19, 2022
Posts
37
Reaction score
18
Habari zenu wapendwa natumai mko salama saana pole na changamoto za kila siku mnazopitia katika maisha.

Mimi ni mwanafunzi nlie maliza form six mwaka2021 na ilipo fika wakati wa kuomba vyuo nilipata vyuo vitano na nikacomferm chuo kimoja lakni pia na mkopo nikawa NIMEPATA lakini kutokana na changamoto zilizo inje ya uwezo wangu masikin sikufanikiwa kuripot chuo nikawa nimesubiri huu mwaka lakini nahofia et nitapata kwel mkopo na chuo najitaji msaada wenu jamani.
 
Back
Top Bottom