Habari wana Jf, leo mida ya saa kumi jioni nipata home kali, baridi kali na joto la mwili kupanda. Nikarudi nyumbani kupumzika lakini hali ilizidi kuwa mbaya nikalala kidogo. Baada ya muda ile hali ikaondo lakini joto bado liko juu na pia macho kama yanawasha na kichwa kuuma kwa mbali ila ni nafuu na mwanzo.
Hili tatizo ni nini?? Ushauri ili kesho nijue nafanya nini.
NB: mara ya mwisho kuugua ilikuwa 2012 mpaka sasa ndo nasikia hali hii. Sijawa umwa malaria, typhoid wala ugonjwa wowote siriasi kiasi na kulala hata siku na kushindwa kufanya mambo yangu. Je hii kutokuumwa muda mrefu hivi kuna wengine wana experience hii.
ahsante wadau.