Nilipatwa na homa kali sana nikawa natetemeka sana.

xchaka

Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
9
Reaction score
11
Habari wana Jf, leo mida ya saa kumi jioni nipata home kali, baridi kali na joto la mwili kupanda. Nikarudi nyumbani kupumzika lakini hali ilizidi kuwa mbaya nikalala kidogo. Baada ya muda ile hali ikaondo lakini joto bado liko juu na pia macho kama yanawasha na kichwa kuuma kwa mbali ila ni nafuu na mwanzo.
Hili tatizo ni nini?? Ushauri ili kesho nijue nafanya nini.

NB: mara ya mwisho kuugua ilikuwa 2012 mpaka sasa ndo nasikia hali hii. Sijawa umwa malaria, typhoid wala ugonjwa wowote siriasi kiasi na kulala hata siku na kushindwa kufanya mambo yangu. Je hii kutokuumwa muda mrefu hivi kuna wengine wana experience hii.

ahsante wadau.
 
Unaumwa unakuja kuomba ushauri ufanyaje jamiiforum na si kwenda hospital [emoji102][emoji101]

Kunywa supu ya mende pia nawia uso utapona
 
Naamini kuna professionals. Hospital lazima uende lkn ushauri humu jf kuna professionals pia mkuu
 
Ungewahi hospital kwa ajili ya vipimo mana sio kila homa ni malaria

Kesho ukijaaliwa kuamka nenda upate matibabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…