jasmin abdulrahman
Member
- Apr 7, 2012
- 32
- 5
wana jf wenzangu naombeni ushauri nilimpenda kijana ambaye hakunipenda, alinipotezea muda wangu na kunifanya shuleni nisifanye vizuri. kwa kifupi alinitesa sana alikuwa akiongea na mpenzi wake mbele yangu anamkiss mbele yangu mimi ananiambia shiiip! nimeamua kuachana nae mungu amenijaalia nimempata mwingine bahati mbaya anajuana nae hivyo ananiharibia kwa mpenzi wangu mpya,anamforwadia msg za awali za mapenzi nilizokuwa nikimtumia yeye anasema mm bado ninamtaka sasa mpenzi wangu huyu mpya ananionesha. sasa huyu wa zamani nimfanyeje? vitendo vyake vimenichosha
we young master unamaanisha nini asisite kuwasiliana na wewe? hapa anatafuta ushauri wa wana jf wote mbona kama unataka kumonopolize tatizo,
nashukuru kakaangu young master kwa ushauri wako mzuri. nitaufanyia kazi
I wish AshaDii angekuwa hapa.
ndugu yangu husninyo unafikiri nitaweza kweli? me naona cha msingi bora tu nimwambie ukweli wote tangu nilipokuwa nae hadi aliponitenda na kuamua kuachana naeWakutanishe wote mfanye kikao.
je mpenzi wako mpya anajua kuwa huyo kaka ulikuwa unatoka nae? Kama hukuwahi kumwambia keti zungumza nae kuhusu uhusiano uliokuwa nao na huyomtuma msg........
Mwanaume wa ukweli atakuelewa.
ngoja kwanza niende nikachome sindano nikirudi ntakushauri vizuri tu!
Ngoja kwanza nkapge viroba,ntarudi
Naona wengi wametoa ushauri mzuri sana. Kweli, kaa chini mwambie ukweli huyo mpenzi wako wa sasa, mwambie nini kinachoendelea, usimfiche chochote. Halafu, huyo mwanaume wa zamani anaonekana mshamba sana, how come alikuwa anakutesa kihivyo? Yaani anaongea na simu na mpenzi wake mbele yako? Tatizo kuna wanaume wengine wakijua mwanamke amekufa kimapenzi wanaitumia hiyo chance vibaya. Pole sana dada.
You are welcome dada Jasmine.