Nilipendekeza kuwa Nape anafiti sana kwenye nafasi ya Uenezi

Nilipendekeza kuwa Nape anafiti sana kwenye nafasi ya Uenezi

Nape anapaswa kuwa mlanguzi wa mkaa anaeishi maporini huko na kufanya kazi usiku kwa usiku, iwe anawasiliana na ngedere tu huko misituni.

Upeo wake ni mdogo sana kiasi kwamba kumchanganya na watu wenye akili timamu ni ufujaji wa mawazo achilia mbali kutaka kumpa uongozi.

1721796147205.png
 
Wazo la kipumbavu, kati ya wanachama mamilioni wa CCM bado unatupendekezea jina la mtenguliwa aliyeshindwa kusimamia wizara moja huko serikalini!? Mtu wa ovyo namna hiyo atawezaje kukisemea chama?

Mtu mwenye makandokando na doa la kutenguliwa hawezi kubeba taswira ya chama. Mrudishie hiyo bahasha.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Nape alikuwa waziri wa habari na tunatambua ana machawa wake wengi, kwenye platform mbalimbali watampigia promo sana
Machawa wake kwenye taasisi zilizokuwa chini ya wizara ya habari wamepigwa chini baada ya kumpongeza maana walikuwa wanajaribu kumuoutsmart presdaa
 
Nilishauri wakati alipo tenguliwa Makonda kuwa nafasi hiyo inamfaa sana Nape.
Bado nashauri tena baada ya kuondolewa kwenye Uwaziri, Nape anafiti sana kwenye nafasi ya Katibu Muenezi.
1.ana uzoefu.
2. ana vibe.
nashauri arudishwe kwenye nafasi yake...
SAHIHI KABISAA .ILI KUONGEZA LADHA NDANI YA PATI LA LUMUMBA
 
Wazo la kipumbavu, kati ya wanachama mamilioni wa CCM bado unatupendekezea jina la mtenguliwa aliyeshindwa kusimamia wizara moja huko serikalini!? Mtu wa ovyo namna hiyo atawezaje kukisemea chama?

Mtu mwenye makandokando na doa la kutenguliwa hawezi kubeba taswira ya chama. Mrudishie hiyo bahasha.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Ni mropokaji na anaingiza utani kwenye mambo nyeti na muhimu. Kwa mama hamfai tena i.e CCM nimeitoa shimoni, sanduku la kura inategemea anayetangaza!
 
Back
Top Bottom