Machawa wake kwenye taasisi zilizokuwa chini ya wizara ya habari wamepigwa chini baada ya kumpongeza maana walikuwa wanajaribu kumuoutsmart presdaaNape alikuwa waziri wa habari na tunatambua ana machawa wake wengi, kwenye platform mbalimbali watampigia promo sana
SAHIHI KABISAA .ILI KUONGEZA LADHA NDANI YA PATI LA LUMUMBANilishauri wakati alipo tenguliwa Makonda kuwa nafasi hiyo inamfaa sana Nape.
Bado nashauri tena baada ya kuondolewa kwenye Uwaziri, Nape anafiti sana kwenye nafasi ya Katibu Muenezi.
1.ana uzoefu.
2. ana vibe.
nashauri arudishwe kwenye nafasi yake...
hapana aeneze siasa safi.Aeneze nini, maradhi?
Ya kuiba chaguzi?hapana aeneze siasa safi.
Aje tumkaangeNilishauri wakati alipotenguliwa Makonda kuwa nafasi hiyo inamfaa sana Nape.
Bado nashauri tena baada ya kuondolewa kwenye Uwaziri, Nape anafiti sana kwenye nafasi ya Katibu Muenezi.
1. Ana uzoefu
2. Ana vibe
Nashauri arudishwe kwenye nafasi yake.
Pia soma=> Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Ni mropokaji na anaingiza utani kwenye mambo nyeti na muhimu. Kwa mama hamfai tena i.e CCM nimeitoa shimoni, sanduku la kura inategemea anayetangaza!Wazo la kipumbavu, kati ya wanachama mamilioni wa CCM bado unatupendekezea jina la mtenguliwa aliyeshindwa kusimamia wizara moja huko serikalini!? Mtu wa ovyo namna hiyo atawezaje kukisemea chama?
Mtu mwenye makandokando na doa la kutenguliwa hawezi kubeba taswira ya chama. Mrudishie hiyo bahasha.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app