Nilipigwa mkuu acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana haaaaah malizia basi ikawaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nilimpenda sana?Mwanamke kumpenda mwanaume badala ya yeye kutulia apendwe ni hatari sana!
Nilipata ajali[emoji14][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Nyumbani uliwaambia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimpenda sana kwa sababu ana hela!
Nilipigwa sana mkuuinaonekana ulidundwa kisawa sawa, yani mpaka leo unakumbuka kichapo
emu weka picha ya makovu tuone
hahaha wewe jamaa una dhambiSisi watu wazima tunajua
ULIPIGWA HUKO CHINI SANA
Vingine ni viungo vya pilau
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha kweli mkuu inabidi kuwe na uzi wa waliopigwa/ kupiga wake zao kimasihara
Sent using Jamii Forums mobile app