Nilipigwa na watu wasioonekana nilipotoka kwa mganga

Nilipigwa na watu wasioonekana nilipotoka kwa mganga

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
leo nimeona nilete kisa kimoja kilichowahi nitokea katika harakati za kutafuta utajiri wa kichawi

Nimeamini kila binadam hupitia magumu yake ila nishukuru mungu maisha yangu hayajakuwa na misukosuko kivile

Picha linaanza natoka form four ndio nimemaliza tu necta mzee ananiambia mwanangu ukifaulu yakupasa ukaendelee kusoma,
Nikamjibu mzee hata kama nitafaulu suala la kuendelea kusoma kwangu halipo na sijalifikilia, ile kauli mzee hakuipenda ukizingatia familia yao wote ni wasomi na wana vyeo vikubwa ndani na nje, kwa maana mzee wadogo zake walikuwa kama 16 mwenye mshahara wa chini alikuwa akilipwa milion5 kwa mwez na hao 16 ni wakiume 15 wakike mmoja ambae ndie wa mwisho na kila anaemfuata mwenzake walikuwa wakipishana miaka miwili au miez tisa unaweza usiamin ila ndio hivyo.

Basi mzee nilivyoona kachukia kutokana na kauli yangu ya kutotaka kwenda five, tokea hapo mzee akawa kanichunia, nikimsalimu asubuh hajibu, yaani ile ngumu kama jiwe.

Lakini moyoni kwangu nilikuwa naomba mungu nifeli maana hata kwenye necta kwenyewe kwenye histor sehem ya explain factors tras nini sijui,, nakumbuka kipengele hiko nilishuka mistar ya fidq ngoma la propaganda sio kwamba sikujua ila ni unyamaa fulan hivi wa kujitoa ufahamu.

Siku zikaenda hatimae matokeo yakatoka kuja kuangalia nina f28 asee nilifurahi sana siku hiyo nilikuwa na ka akiba kama k300 hivi nikaandaa katafrija tukapalii kumbuka jamii inajua nafurahia kufaulu,mzee na mother wapo njee kikazi,siku hiyo nilienjoy sana kufeli form four,, mnajua kwanini nilifurahi? Mtajua mwisho wa story.

Basi wiki ikapita mzee akapata taarifa yakuwa nimefeli,akawa amrud hom akasema kwa kuwa umefeli nimekufanyia mpango wa shule, nchin Botswana kwa hiyo jiandae mwezi ujao unaenda kuanza, nikamwambia ngoja nifikilie.

Zimepita siku nne nikamjibu mzee hapana siwezi kwenda soma kama inawezekana nitafute ajira, nakumbuka mzee alicheka sana na kusema hivi wewe ndezi, unaakili gani?

Punde akaniambia nisubiri hapo sebuleni akatoka nje sikujua linaloendelea kumbe alikuwa ameenda tafuta fimbo, ile anarudi ndani nilicheze balaa nilipigwa kama mwizi, nilishindwa cha kufanya sababu mzee kwaza ni mbavu nene pili ni mtu wa kitengo ngazi za juu
Kile kipigo niliugulia wiki mbili.

Nipo ndani nilivimba haswa.

Iliyopita wiki mbili baada ya maumivu kutulia na kurudi kwenye hali yangu mzee akaja tena na jambo lile lile akauliza tena vipi umefikia wapi na umefikiriaje kuhusu kwenda kusoma.

Hapo moyon najiuliza huyu baba mzazi kweli au kuna kitu nafichwa
 
Tunasubiri mwendelezo ingawa episode ya Kwanza umeanza na chai..watoto 16 na wote wameachana miaka miwili na miezi 9. ambaye ana mshahara mdogo mil 5

Hapa umetuokota
wala usijali utanielewa tu ndugu kama unashangaa hili vp yule wa kenya mwenye watoto 40 na wote baba mmoja mama mmoja
 
leo nimeona nilete kisa kimoja kilichowahi nitokea katika harakati za kutafuta utajiri wa kichawi

Nimeamini kila binadam hupitia magumu yake ila nishukuru mungu maisha yangu hayajakuwa na misukosuko kivile

Picha linaanza natoka form four ndio nimemaliza tu necta mzee ananiambia mwanangu ukifaulu yakupasa ukaendelee kusoma,
Nikamjibu mzee hata kama nitafaulu suala la kuendelea kusoma kwangu halipo na sijalifikilia, ile kauli mzee hakuipenda ukizingatia familia yao wote ni wasomi na wana vyeo vikubwa ndani na nje, kwa maana mzee wadogo zake walikuwa kama 16 mwenye mshahara wa chini alikuwa akilipwa milion5 kwa mwez na hao 16 ni wakiume 15 wakike mmoja ambae ndie wa mwisho na kila anaemfuata mwenzake walikuwa wakipishana miaka miwili au miez tisa unaweza usiamin ila ndio hivyo.

Basi mzee nilivyoona kachukia kutokana na kauli yangu ya kutotaka kwenda five, tokea hapo mzee akawa kanichunia, nikimsalimu asubuh hajibu, yaani ile ngumu kama jiwe.

Lakini moyoni kwangu nilikuwa naomba mungu nifeli maana hata kwenye necta kwenyewe kwenye histor sehem ya explain factors tras nini sijui,, nakumbuka kipengele hiko nilishuka mistar ya fidq ngoma la propaganda sio kwamba sikujua ila ni unyamaa fulan hivi wa kujitoa ufaham,

Siku zikaenda hatimae matokeo yakatoka kuja kuangalia nina f28 asee nilifurahi sana siku hiyo nilikuwa na ka akiba kama k300 hivi nikaandaa katafrija tukapalii kumbuka jamii inajua nafurahia kufaulu,mzee na mother wapo njee kikazi,siku hiyo nilienjoy sana kufeli form four,, mnajua kwanini nilifurahi?, Mtajua mwisho wa story.

Basi wiki ikapita mzee akapata taarifa yakuwa nimefeli,akawa amrud hom akasema kwa kuwa umefeli nimekufanyia mpango wa shule,nchin Botswana kwa hiyo jiandae mwezi ujao unaenda kuanza, nikamwambia ngoja nifikilie,

Zimepita siku nne nikamjibu mzee hapana siwezi kwenda soma kama inawezekana nitafute ajira, nakumbuka mzee alicheka sana na kusema hivi wewe ndezi, unaakili gani,,,.,.?
Jamani!
Tusimrahum Mama kwa kutushushia uchumi wetu! Kumbe vyanzo viko huku huku kwenye ngazi ya wananchi!

300K unafanya sherehe ya kufeli form four? Bora hiyo hela ungenitumia nikaenda kununua papuchi!
 
Na hapo tunasubiri baada ya wiki mbili aje aanzishe uzi wa kuomba buku tatu ya chakula cha usiku [emoji23][emoji23]
lakinistori si bado pengine mbele huko nilipigika kwa hiyo usishangae
 
leo nimeona nilete kisa kimoja kilichowahi nitokea katika harakati za kutafuta utajiri wa kichawi

Nimeamini kila binadam hupitia magumu yake ila nishukuru mungu maisha yangu hayajakuwa na misukosuko kivile

Picha linaanza natoka form four ndio nimemaliza tu necta mzee ananiambia mwanangu ukifaulu yakupasa ukaendelee kusoma,
Nikamjibu mzee hata kama nitafaulu suala la kuendelea kusoma kwangu halipo na sijalifikilia, ile kauli mzee hakuipenda ukizingatia familia yao wote ni wasomi na wana vyeo vikubwa ndani na nje, kwa maana mzee wadogo zake walikuwa kama 16 mwenye mshahara wa chini alikuwa akilipwa milion5 kwa mwez na hao 16 ni wakiume 15 wakike mmoja ambae ndie wa mwisho na kila anaemfuata mwenzake walikuwa wakipishana miaka miwili au miez tisa unaweza usiamin ila ndio hivyo
Basi mzee nilivyoona kachukia kutokana na kauli yangu ya kutotaka kwenda five, tokea hapo mzee akawa kanichunia, nikimsalimu asubuh hajibu, yaani ile ngumu kama jiwe
Lakini moyoni kwangu nilikuwa naomba mungu nifeli maana hata kwenye necta kwenyewe kwenye histor sehem ya explain factors tras nini sijui,, nakumbuka kipengele hiko nilishuka mistar ya fidq ngoma la propaganda sio kwamba sikujua ila ni unyamaa fulan hivi wa kujitoa ufaham,

Siku zikaenda hatimae matokeo yakatoka kuja kuangalia nina f28 asee nilifurahi sana siku hiyo nilikuwa na ka akiba kama k300 hivi nikaandaa katafrija tukapalii kumbuka jamii inajua nafurahia kufaulu,mzee na mother wapo njee kikazi,siku hiyo nilienjoy sana kufeli form four,, mnajua kwanini nilifurahi?, Mtajua mwisho wa story
Basi wiki ikapita mzee akapata taarifa yakuwa nimefeli,akawa amrud hom akasema kwa kuwa umefeli nimekufanyia mpango wa shule,nchin Botswana kwa hiyo jiandae mwezi ujao unaenda kuanza, nikamwambia ngoja nifikilie,

Zimepita siku nne nikamjibu mzee hapana siwezi kwenda soma kama inawezekana nitafute ajira, nakumbuka mzee alicheka sana na kusema hivi wewe ndezi, unaakili gani,,,,,,,,?
Punde akaniambia nisubiri hapo sebuleni akatoka nje sikujua linaloendelea kumbe alikuwa ameenda tafuta fimbo, ile anarudi ndani nilicheze balaa nilipigwa kama mwizi, nilishindwa cha kufanya sababu mzee kwaza ni mbavu nene pili ni mtu wa kitengo ngazi za juu
Kile kipigo niliugulia wiki mbili
Nipo ndani nilivimba haswa
Iliyopita wiki mbili baada ya maumivu kutulia na kurudi kwenye hali yangu mzee akaja tena na jambo lile lile akauliza tena vipi umefikia wapi na umefikiriaje kuhusu kwenda kusoma,,.,,,

Hapo moyon najiuliza huyu baba mzazi kweli au kuna kitu nafichwa
Stor yako nzuri ila usituokote kama hivyo ww una ndoto za mchana kwel kwel[emoji23]
 
Kabla hujaendelea,tunaomba utuahidi kabisa utamaliza mpaka mwisho.
 
Back
Top Bottom