Nilipigwa na watu wasioonekana nilipotoka kwa mganga

Wahaya kwa misifa hamjambo. Wewe wa Ngara au Muleba?
mi si muhaya ila ninachojua mtz hataki usimulie mambo mazuri ubongo wake umeumbiwa shida shida kwahy kawaida kuitwa muhaya ndio mana story za shida zinakubalika sana
 
Nitaendelea...kamekuwa ni kamtindo kweli
 
Tunasubiri mwendelezo ingawa episode ya Kwanza umeanza na chai..watoto 16 na wote wameachana miaka miwili na miezi 9. ambaye ana mshahara mdogo mil 5

Hapa umetuokota
Kama ni wa mama mmoja basi hakika bibi wa mwenzetu alikuwa na kipajiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Heading tu nimecheka balaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ngoja sasa nisome body
 
Ulipgwa na Kitu kizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…