Nilipofikia kiuchumi

Xi jiping

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2021
Posts
628
Reaction score
920
Gharama za vifurushi na ukata vimenifanya nibadili resolution ya kuview Youtube kutoka 720HD to 144

Na umasikini huu kuna mtu ananichukia na kuniundia magenge!! Walimwengu sio bora Wali-maharage

 
Ila kuangalia video kwa resolution ya chini Ni jau Sana.
Mimi Kama Sina kifurushi huwa sihangaiki na mitandao.

Nachukua earphones nachomeka Kwenye simu nakula mziki tu😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…