GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa?
Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa Kukosea kwa Makusudi na Kuchomesha ili Ndugu na Marafiki Wetu wapate wakitakacho na Wasiumbuke hapa Mjini.
ANGALIZO
Timu inayosemwa hapa na GENTAMYCINE ni ile ya Nottingham Forest FC ya nchini Uingereza ambayo kiukweli SIIPENDI na hata Mashabiki wao wanalijua hili.
Kila la Kheri Wazee wa Signal K'Koo.