GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Muda ni mwalimu mzuri.yanga kama kijiti cha hii ligi kinaelekea simba
Mkuu huu Uzi naizungumzia hasa Klabu ya Nottingham Forest FC ya nchini Uingereza na siyo hivi Vilabu vyenu Vikongwe vya Tanzania vya Yanga na Simba sawa?yanga kama kijiti cha hii ligi kinaelekea simba
ushuzi na aja ndogo vyote vinakuwa kwenye kujisaidiaMkuu huu Uzi naizungumzia hasa Klabu ya Nottingham Forest FC ya nchini Uingereza na siyo hivi Vilabu vyenu Vikongwe vya Tanzania vya Yanga na Simba sawa?
Na Kweli walivyo itoa tu wakaanza kupoteanaAshukuliwe mzize, kwenye ile taulo ya kipa wa dodoma jiji kulikuwa na ndumba
Na hii Red Eyes🤣yaani baada ya mzize kutoa kile kitu kilichowekwa kwenye lile taulo la kipa pale golini, nikajisemea hapa chuma inaaingia mda si mrefu.
mzize mbali na kuwa mchezaji anafaa pia kuwa mganga.
Lyetu anqmjuwa vzrPopoma kila Yanga ikishinda nawe unaukweka kwa tabu sana
Haja na si aja,una shida gani wewe!?ushuzi na aja ndogo vyote vinakuwa kwenye kujisaidia
Wewe unaweza kua mganga zaidi yakeyaani baada ya mzize kutoa kile kitu kilichowekwa kwenye lile taulo la kipa pale golini, nikajisemea hapa chuma inaaingia mda si mrefu.
mzize mbali na kuwa mchezaji anafaa pia kuwa mganga.
ha ha ha haYaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa?
Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa Kukosea kwa Makusudi na Kuchomesha ili Ndugu na Marafiki Wetu wapate wakitakacho na Wasiumbuke hapa Mjini.
ANGALIZO
Timu inayosemwa hapa na GENTAMYCINE ni ile ya Nottingham Forest FC ya nchini Uingereza ambayo kiukweli SIIPENDI na hata Mashabiki wao wanalijua hili.
Kila la Kheri Wazee wa Signal K'Koo.
The same kama Signal ilivyotolewa kule visiwa vya karafuu na yule mchezaji mwenye mahaba aluvyompa kipa tuta. Malipo hapa hapa. Hii inaitwa KALMA[emoji10]Yaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa?
Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa Kukosea kwa Makusudi na Kuchomesha ili Ndugu na Marafiki Wetu wapate wakitakacho na Wasiumbuke hapa Mjini.
ANGALIZO
Timu inayosemwa hapa na GENTAMYCINE ni ile ya Nottingham Forest FC ya nchini Uingereza ambayo kiukweli SIIPENDI na hata Mashabiki wao wanalijua hili.
Kila la Kheri Wazee wa Signal K'Koo.
Siyo KALMA bali ni Karma sawa?The same kama Signal ilivyotolewa kule visiwa vya karafuu na yule mchezaji mwenye mahaba aluvyompa kipa tuta. Malipo hapa hapa. Hii inaitwa KALMA[emoji10]