Nilipokuwa Vakesheni hili lilinikwaza

Nilipokuwa Vakesheni hili lilinikwaza

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,120
Sijui ni uchakachuaji au kweli jamaa kapita hapa

big-foot-steve.jpg
 
Cancun Beach...huyo ni frendi nilimuokota huko akitoka Sweden
 
Labda mguu wa mungu mkuu, si umeona palivyotulia hapo mahali
 
Beach za wenzetu balaa...kuna vitrekta vya kufagia uchafu kila dakika...mchanga kama sukari
 
sharubu za rafikiyo....ka brash lililoisha...khaaa
 
sharubu za rafikiyo....ka brash lililoisha...khaaa

Hujamwona mkewe....ndiye aliyetuunganisha mimi nilikonsetreti zaidi na waifu wake...lenyewe mawiski 24 hrs mke anakunywa Dr.Pepper tu....huyu hapa...Mmarangu

4452451715_5bf70543c7.jpg
 
haha haaaaaaaa una macho makubwa bibiee.......kingne ulichoona?
mguu wa mungu uo!!

he he....hujambo wewe.....kibaba kinaonekana kiko fulu kinywaji....masikini dada yetu
 
Back
Top Bottom