wavulana wengine wana akili za ajabu sana, mtu unatoka kwako,unafahamu yaliyowahi tokea huko nyuma....kinachoenda kukulaza kwake ni nini? si utafute walau hoteli au guest house maeneo ya jiraji ukakae hapo mkishamaliza mazungumzo....unajipumzikia unaondoka....huu ulelemama na upenda vyepesi wa wavulana na wanaume wengi utawagharimu sana....kuna tatizo katika malezi....uanaume umebaki kuzaliwa hivyo na si ki matendo na mienendo!
Hataki kupima kwasababu we kwake ni wa kupita....hakupendi anataka mbilimbi yako!