Nilipomwambia hadi tupime hiv status.

Michelle me ni mtumzima na so mvulana labda uniite mtu mzima Ovyo
 
oppss.....dogo umenishtua na hiyo sentensi kwenye red....kumbe hofu yako wewe kujua HIV status ni mtoto?...wewe ilishapima kabla? inaonekana hata lengo la kupima HIV status hulielewi vizuri. rekebisha kauli au omba ushauri juu ya HIV status.
mi sio mjanja ila nina nia awe wangu maishani,sa bila kupima hatutapata watoto
 




Swahili was used in this master, with that I have stayed abroad for a long time I am not yet well understood, although Kiswahili is my language, I wonder to see others you understand and contribute.
 
Dogo anasaundi kama mjanja mjanja huyu , sioni kama anaweza kuachia kitu kama hiyo imejipeleka yenyewe anataka support tu

Anataka tumpe moyo tu ameshakula mzigo tayari.....maana anataka tumuambie kama demu anajiamini so hana ukimwi au demu kashaupata
 


Michelle,kheri umempa ukweli,maana dogo inaonekana bado ananyonya.Huyu demu hampendi,anataka wadinyane tu,lakini dogo yeye kazimika anataka ndoa.Tafuta mwanamke mwingine ,huyu demu wako kicheche,toka 2008~2012,hamkua na mawasiliano unafikiri kacheza na wangapi ,na kwa nini akukumbuke sasa?

Hivi siku hizi hakuna jando,haya mambo hufundishwa jandoni,..
 
Huyu dogo hana issue. Maana naona hata anachoandika hakielewekieleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…