GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nendeni katika Ukurasa wa X ( zamani Twitter ) wa Mkenya Mike Sonko muone jinsi Askar Polisi wa Morocco ( Waafrika Wenzetu ) walivyomshambulia na kumpiga vibaya Mwafrika baada ya Kuhoji kwanini Ndege yao imechelewa kwa Siku moja na wako bado Airport lakini kuna Tangazo limetoka likisema kuwa Ndege nyingine ipo ila watakaopanda Kwanza ili kuwahi Waendako ni wale wasio Waafrika hivyo huyu Mwafrika kutoka nchini Senegal alivyohoji hilo alichoambulia siyo Maelekezo bali ni Kuchangiwa Kupigwa kwa Mateke na Marungu na Askari Polisi wa Uwanja huo wa Ndege.
Ukiona GENTAMYCINE namchukia Mtu jua niko sahihi 100% na ndiyo maana hata wakati wa Mashindano ya Fainali ya Kombe la Dunia nilisema waziwazi hapa JamiiForums kuwa Nawachukia Wamoroko kwakuwa ni Wabaguzi hasa baada ya wao Kuhojiwa na kusema kuwa Wao siyo Waafrika wenzetu na ndiyo maana hata katika Kombe la Dunia wamefanya vyema halafu wana Maendeleo kama nchi za Ulaya hasa kama baadhi ambazo wako nazo Jirani Kijiografia.
Na mmeombwa huko X Mtandaoni kuwa mkishaiona hiyo Video tafahalini nanyi isambazeni ili Wamoroko Waumbuke.