Nilipotea nyumbani kwa mngoni.

hahaha hahahha...wa mwanavevev kyan?utumbili?
uyumwiki?
nigana lepa nene!!
umala kumpitimbi,luhuwiko,lilambo,mwanamonga,maposeni?
niamba kuyuvika tukonganiki veve.......!!!!!!!
pamalau

Na we Rose kumbe mtani wangu haya ila umeniacha hoi sijakuelewa nitafsirie basi.
 
Paka Mweusi tatizo sijui niwafanyeje hawa wangoni wenzangu wampe Slaa kula!! arghhh!!!:bowl::bowl: Oops! Dr Slaa!
 
Paka Mweusi tatizo sijui niwafanyeje hawa wangoni wenzangu wampe Slaa kula!! arghhh!!!:bowl::bowl: Oops! Dr Slaa!

Wasemeshe kingoni tu watakuelewa si unajua zimwi likujualo.........ukiwamwagia sera kwa lugha ya kunyumba lazima kitaeleweka tu,maana wengine bado wanafikiri kuwa CHADEMA ni chama cha mjini lakini wakiona na kingoni kinasemwa na makada wake basi hapo ushindi utakuwa kama kumsukuma mlevi tu,All the best mtani.
 
Ngoja nikagombee na ubunge kwa tiketi ya CHADS! loolll!:smile:
 
Ngoja nikagombee na ubunge kwa tiketi ya CHADS! loolll!:smile:

Ukifanya hilo mtani najua ni baada ya miaka mitano lakini nakutangulizia na pongezi kwa mwamko huo na ahadi yangu ya kampeni muda ukifika ni Euro 1000.
 
roseeeeeeeee,kumbi wewe wa kunyumba?chenjelai pambwani hapa!:wave::wave::smile-big:
hahaha hahahha...wa mwanavevev kyan?utumbili?
uyumwiki?
nigana lepa nene!!
umala kumpitimbi,luhuwiko,lilambo,mwanamonga,maposeni?
niamba kuyuvika tukonganiki veve.......!!!!!!!
pamalau
 
Hivi hiki jukwii li utanii? nimeipendii hii nyimbii,kutamu sanaa mwanii!!
 
Hahah umenikushumba mbali kweli ...................... nakwambia ......... Umeme hii nyumbi yangu hii ...............hahah
 
Hahah umenikushumba mbali kweli ...................... nakwambia ......... Umeme hii nyumbi yangu hii ...............hahah
Kwa hil nneno hapuu ju ni we kwili ni mtan hwetu
 
Nishachukua chumba tayari nakusubiri.
tutafundishiana chumban?mweeeee mistaK ...NAOGOPA MWALIMU ASIJE AKABAKWA NA MWANAfUNZ BURE
ntakupa mwalmu mwngne wa kiume
st roy kakaa sana songea atakua anakijua mi siji tena!!!
 
tutafundishiana chumban?mweeeee mistaK ...NAOGOPA MWALIMU ASIJE AKABAKWA NA MWANAfUNZ BURE
ntakupa mwalmu mwngne wa kiume
st roy kakaa sana songea atakua anakijua mi siji tena!!!

Eh.....!!!!!! Kwa heri tutaonana siku nyingine.
 
tutafundishiana chumban?mweeeee mistaK ...NAOGOPA MWALIMU ASIJE AKABAKWA NA MWANAfUNZ BURE
ntakupa mwalmu mwngne wa kiume
st roy kakaa sana songea atakua anakijua mi siji tena!!!
Yaa Da Rose, hilo neno lako.........la hapo kwenye bold..................umenikumbusha mbali sana...................yaani walikuwa wanasema hivyo halafu wanajiangusha
 
roseeeeeeeee,kumbi wewe wa kunyumba?chenjelai pambwani hapa!:wave::wave::smile-big:

Ni ne nani Dr Slaa yoyo ya tikumuwona kila ligono mu luninga nikumpela KURA.........

alafu ve wa lipusi lipili veve....!!!! ukutiholi chuku ya maganga

mnhuu.....ne nitama kulizaboni pa pavadumwi msufi

hahaha hahahha...wa mwanavevev kyan?utumbili?
uyumwiki?
nigana lepa nene!!
umala kumpitimbi,luhuwiko,lilambo,mwanamonga,maposeni?
niamba kuyuvika tukonganiki veve.......!!!!!!!
pamalau

Mi wa palipali bombi mbili! mtani wewe wa wapi!? nimemiss lizombe sanaaaaaa!

Niwawoni walongo wangu. lelu niwona ngati nivi kunyumba! musengwili sana, na chilawu mewawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…