Nilipotembelea Morogoro!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075

Nikiwa katika mitaa ya moro nikaenda baa moja inaitwa Toplife pale nikakaa nje kuna vivuli vya mti lakini katika uchunguzi wangu nikaona huu mti nikaona sivibaya niwape uhondo wa Moro wana JF japo watu wa Moro walinikimbia karibu kwetu!!Malimwengu haya!!
 
aaaah maeneo yangu hayaaaaaa..kuna nyama ya kuchoma safi sana hapa mahali
 
Umenikumbusha mbali sana pale kuna nyama choma kali sana ........ila huo mti sikuuona labda umekuwa sasa!
 
Sehemu ya muhimu sana hii Nikiwa Moro! Unamwona kila anayepita-ila yeye anakuwa macho mbele hakuoni! teh teh.:A S crown-1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…