Nilisababisha mama mkwe kupewa taraka, kosa Moja tu

Kama habari hii ni ya kweli basi wewe jamaa ni fala sana na utatombewa sana kwa ubwege wako
 
Watu hatukutoa mahari.
.mama mkwe alileta zake kama hizo na alijibiwa makavu na kublokiwa jumla na mamsapu hajawai kurudi kwao..

UNAUMWA WEWE SIO BURE.
 
Mzee rijali kakuonesha somo la kipekee mbele yako mubashara kabisa Kisha upo hapa unaleta hadithi kuwa ulisikitika sana na uliomba msamaha na Sasa unalea Malaya na mama yake nyumbani kwako.
Nyie ndio mumeleta misiba ya ndoa kuenea kama virusi.
 
Aibu naona mimi
 
Wewe ni fala brother. Au yawezekana umewekewa limbwata kama wasemavyo wajuba but huwa siamini sana kwenye haya. But wewe ni mjinga na nusu
 
Pumbavu zako, au hudindishi Ndomaana mkeo anaenda kigongwa nje na rijali, ipo siku huyo bwana ake wa pembeni atakuja akugonge nawewe, maana ungekuwa rijali ungekuwa na maamuzi ya kiume.
 
Mwanzo nilidani hii story ni y kweli, lkn kadri nilivokaribia kuimaliza nikajua ni CHAI na najuta hata kuisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…