Nilisahau kujitambulisha kwa wanajukwaa

Nilisahau kujitambulisha kwa wanajukwaa

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Habari wana jamii forums,
Naomba kuchukua wasaa huu kujitambulisha kwenu kama mgeni ndani ya jamii forums ili mtambue uwepo wangu! Sijamaliza hata mwezi ndani ya jamii forums, hivyo nina kila haki ya kujiita mgeni ndani ya majukwaa haya!

Naombeni mnipokee!

Pia ingelipendeza kama nitapatiwa miongozo ya kipi cha kufanya na kipi cha kutofanya ndani ya jukwaa, ingawaje binafsi mimi ni mtu wa matukio hasa katika jukwaa la MMU

Naombeni nikaribie ndani!
 
karibu mgeni mwenzangu[emoji4]
 
Weka picha mgeni ndio utaratibu wa umu
 
Back
Top Bottom