Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
karibu mgeni mwenzangu[emoji4]Habari wana jamii forums,
Naomba kuchukua wasaa huu kujitambulisha kwenu kama mgeni ndani ya jamii forums ili mtambue uwepo wangu! Sijamaliza hata mwezi ndani ya jamii forums, hivyo nina kila haki ya kujiita mgeni ndani ya majukwaa haya!
Naombeni mnipokee!
Pia ingelipendeza kama nitapatiwa miongozo ya kipi cha kufanya na kipi cha kutofanya ndani ya jukwaa, ingawaje binafsi mimi ni mtu wa matukio hasa katika jukwaa la MMU
Naombeni nikaribie ndani!
Shukhrani!karibu mgeni mwenzangu[emoji4]
Shukrani mkuu! Tuko pamoja sana!Karibu sana JamiiForums...
[emoji3064][emoji3064][emoji3064] looo!Weka picha mgeni ndio utaratibu wa umu
Nashukuru sanaKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.