jamani mimi ni mwanachama mpya ila nina kama wiki 2 hivi toka nimejiunga na jamii forrum, niliingia hapa bila ya kujitambulisha ili wana jamii forrum muweze kunifahamu kuwa nami ni mmoja wenu, nategemea ushirikiano wenu katika kuimarisha hii jamii yetu kwa kupeana habari mbali mbali zinazohusu jamii yetu.
ahasanteni sana