Nilisema Feisal Toto akitushinda hii kesi mniite mbwa

Sema akili zetu ni ndogo mno.

Hata uandishi wetu unajieleza vizuri.

1. Yanga wamemuhukumu Feisal Salum TFF kwa KOSA LA kuivunja mkataba.

2. Kamati ya sheria TFF inakuja na majibu kuwa Feisal ni Mchezaji Hali wa Yanga.

Ndio tunajua ni Mchezaji Hali ila amevunja mkataba


1.Majibu tunayotaka JE kwanini feisal Ameamua kuivunja mkataba?

2.Je Mkataba wa feisal unavunjwa kwa gharama Gani???? Nk nk.

N.B Mikataba Yote Duniani Huwa inavunjwa kukiwa na kasoro


NIKIPATA muda nitakuelekeza vizuri
 
kama akili zenu ni ndogo hamuwezi elewa mambo magumu
 
Mbona umeindika hovyo pia...
 
Dah!
 
Mikataba ya football Kuna conditions za kuvunja,zimewekwa na FIFA.ndio maana hata migogoro yao hawataki uende mahakamani.ukienda a
Sahau mambo ya mpira.yaani unahamka tu unamshawishi Clotus Chama mshahara mara 4 zaidi ili Simba ishuke daraja hawezekani
 
Mbona wachezaji kila siku tunaona wanavunjiwa mikataba na timu zao bila ata kukaa pande mbili ila kwann iwe ngumu kwa mchezaji kuuvunja mkataba wake?
 
Ni kazi ya kamati kutoa majibu ya swali lako la kwanza? Mmmmmh
 
kala urojo kavimbiwa arafu unatangaza kuvunja mkataba ki bwege ivyo.
 
Naona na uandishi wako nao umekuelezea wewe wa akili gani
 
Duniani kote hakuna mtu au taasisi inayoweza kuvunja mkataba kwa pande moja!!, Iwe una haki au laah lazima taratibu za kisheria zifuate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…