Kanda Wakamkanda
Member
- May 3, 2015
- 36
- 6
Tatizo lenu muliwashangilia sana wa Tunisia, tunataka tuwashikishe adabu kidogo
Chonde chonde tumegundua makosa yetu tutajirekebisha msituhukumu ivo tafadhali wanayanga. Tumekiri kuwa tulikosea hatutarudia tena
Vizuri mmekubali makosa yenu, vipi tukitoa sare siitakuwa nzuri kwenu!
Simba wana makombe mawili ya nani mtani jembe na mapinduzi nashangaa Miyanga hawana tegemeo la kombe la pili ila midomo imekuwa kama vuvuzela.