Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Marais na wawakilishi wao waliokaa Dar es salaam tarehe 08 Febuari kujadili amani ya Kongo ni bure kabisa. Nilisema hili mapema kabisa ingawa baadhi ya watu waliniona niko wrong lakini sasa imejionyesha.
Sasa sijui unyonge au akili finyu. Inakuwaje kikundi cha waasi chenye watu wachache, kinachojiendesha from abroad kiwe na nguvu kuliko serikali inayoungwa mkono na majeshi ya nchi nyingi za Afrika?
Marais wa SADC na EAC mnashida gani?