Wa Ndima
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 1,526
- 323
Kama nilivyosema kuwa JK alichoahidi sio sera yake ni mpango wa Mfuko wa jamii NSSF ushahidi ni gazeti la TumainiLetu ukurasa wa tatu habari iliyobeba kichwa cha habari NSSF KUMALIZA TATIZO LA UMEME ndani kuna full stori ya mkakati huo wa muda mrefu wa kujenga majengo hayo na barabara ya kulipia dar mpaka chalinze, daraja la kigamboni, vituo vya mabasi