Elections 2010 Nilisema Machinga complex ya NSSF ushahidi huu

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Posts
1,526
Reaction score
323
Kama nilivyosema kuwa JK alichoahidi sio sera yake ni mpango wa Mfuko wa jamii NSSF ushahidi ni gazeti la TumainiLetu ukurasa wa tatu habari iliyobeba kichwa cha habari NSSF KUMALIZA TATIZO LA UMEME ndani kuna full stori ya mkakati huo wa muda mrefu wa kujenga majengo hayo na barabara ya kulipia dar mpaka chalinze, daraja la kigamboni, vituo vya mabasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…