%Nilishakuwaga na waaangu ila akanitenda ....mimi nabaki nalia na moyo %

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,236
Reaction score
1,411
Title yahusika ! song of the day by Jide, i just dedicate to Jf members !
 
"utabaki unalia na myo"..I like that part
 
pole ila wako wengi yaliowakuta hayo dunian
 
...........moyo kiza kinene huwezi kujua, yupi mkweli yupi muongo anayekuzingua..............
 
Hayo mambo ya kawaida saaaaana! Hiyo imenitokea mara 3. Nitafute nikushauri kabla hujajinyonga maana hakawii, sababu ninaexperience ya kutosha
 
akikutema si ndiyo vizuri?unapata mda wa kutafuta mwingine bombaaa....!!!.mi ningepata wa kuingia nao mkataba angalau wa miezi miwili miwili.unamung'ang'ania mwenzio amekua mbingu?unajifanya mwaminifu kwake yeye anachakachua kama kawa.mi simo.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…