Wewe ulivyo ms3ng3 wa kigalatia akili imejaa kufukuliwa mtaro, unadanganya walugaluga wenzako uliwaacha huku waone kuwa ni waislamu tu ndio walizuiliwa, na kwa kuwa mlokole kwenye ya kimasikini ni uwendawazimu watakuaminiNilishangazwa sana na jinsi mfumo wa USA unavyofanya kazi kwa mfano raisi D.Trump alisaini executive order, kwamba kesho tarehe xx/xx/xxxx raia wote wa nchi xyz hawataruhusiwa kuingia USA, ilipofika saa 23:59 (dakika 1 kabla ya saa sita usiku)
Walizuiwa dunia nzima hao rai hapo hapo walipokuwa, kama walikuwa wanatoka labda siria wako transit kuelekea USA walizuiwa kuendela na safari hapo hapo walipokuwa na ni dunia dunia nzima, ilinishangaza sana duh, its so fast.
saa 23:59 iliwakutia airport ...
View attachment 3615831
Wewe usiwapaishe hivyo. Mission ngapi hao CIA wamefeli?Huku ni karibu na mbinguni Mzee mfano mdogo ukifanya kosa hata dogo kiasi gani so long as lina maslahi mapana ya USA kama federal basi in a flash of an eye mifumo yoteinasomana vs you kwahiyo FBI wanaanza kukutail Kila HATUA (kama ni criminal) na surveillance cameras zinakufwatilia Kila sehemu na setelait zina kuwa fed na data zako kwahiyo popote ulipo federal government ipo huchomoki Mzee.
Na Drone juu, wakishasema unahatarisha haki za binadamu kinachofata wanakutangaza wewe ni GaidiHuku ni karibu na mbinguni Mzee mfano mdogo ukifanya kosa hata dogo kiasi gani so long as lina maslahi mapana ya USA kama federal basi in a flash of an eye mifumo yoteinasomana vs you kwahiyo FBI wanaanza kukutail Kila HATUA (kama ni criminal) na surveillance cameras zinakufwatilia Kila sehemu na setelait zina kuwa fed na data zako kwahiyo popote ulipo federal government ipo huchomoki Mzee.
Kwani hamna mifano mingine mpaka kusema ntyuka... 😄😄😄Wewe usiwapaishe hivyo. Mission ngapi hao CIA wamefeli?
Nikikwambia kuwa nina ushahidi wa raia aliye messup na USA GOVT na waka vow hunting him down lakini hadi leo ni 15yrs no clue of the wherebout utaamini?
Hilo linawezekana kwa % kubwa kwenye mifumo ya huko kwao tu lkn huku ntyuka mambo yapo tofauti na udhaniavyo.
Sijui kwanini hao kobaz hupambania sana kwenda USA, EU, Canada, Australia, nk yaani kwenye nchi za "makafiri" badala ya kwenda kwa nchi za ndugu katika imaan: - Afghanistan, Yemen, Pakistan, .nksaa 23:59 iliwakutia airport ...
Mkuu afghanstan hakuna maisha njaa inawachapa hakuna mfano.Sijui kwanini hao kobaz hupambania sana kwenda USA, EU, Canada, Australia, nk yaani kwenye nchi za "makafiri" badala ya kwenda kwa nchi za ndugu katika imaan: - Afghanistan, Yemen, Pakistan, .nk
Sasa endeleeni hvi hivo kula tomato
Nilikuwa na mtoto ambaye alikuwa anawashwa kwenye tundu la haja kubwa. Mwanzoni nilidhani ni minyoo, hivyo nikampa dawa mara kadhaa, lakini tatizo halikuisha. Lilikuwa linapotea kwa muda kisha linarudi tena.
Siku moja nilikwenda kumnunulia chips kwa sababu anazipenda sana, na dada wa kazi hakuwepo kumpikia. Nikiwa hapo, nikamsikia mteja mmoja akisema asiwekeewe tomato kwa sababu zinawawasha watoto tundu la haja kubwa. Nilishangaa kuona kwamba hata muuza chips alikuwa analifahamu jambo hilo na hakuliona kuwa la ajabu kama mimi nilivyoliona.
Kwahiyo mwanao alikua nawashwa na kishundu??Sasa endeleeni hvi hivo kula tomato
Nilikuwa na mtoto ambaye alikuwa anawashwa kwenye tundu la haja kubwa. Mwanzoni nilidhani ni minyoo, hivyo nikampa dawa mara kadhaa, lakini tatizo halikuisha. Lilikuwa linapotea kwa muda kisha linarudi tena.
Siku moja nilikwenda kumnunulia chips kwa sababu anazipenda sana, na dada wa kazi hakuwepo kumpikia. Nikiwa hapo, nikamsikia mteja mmoja akisema asiwekeewe tomato kwa sababu zinawawasha watoto tundu la haja kubwa. Nilishangaa kuona kwamba hata muuza chips alikuwa analifahamu jambo hilo na hakuliona kuwa la ajabu kama mimi nilivyoliona.
Ni tomato mkuu acha kusingizia humiditywakati mwingine ni bacteria pia, dar kuna joto na humidity ya hali ya juu, hali ya hewa mbaya kwa kawaida hatukupaswa kuishi kwenye mji kama huo sijaelewa hata ni kwa nini tumeshindwa kuendeleza mikoani, mikoa karibia yote hali ya hewa safi na rafiki kwa binadamu, hakuna malaria wala humidity kama dar.
hivyo ningeanza na kucheki bacterial infection kabla ya kuhitimisha kwamba ni tomato …
Mabeberu wapo makini mno, mifumo yao ipo kwenye utayari muda wowote.Nilishangazwa sana na jinsi mfumo wa USA unavyofanya kazi kwa mfano raisi D.Trump alisaini executive order, kwamba kesho tarehe xx/xx/xxxx raia wote wa nchi xyz hawataruhusiwa kuingia USA, ilipofika saa 23:59 (dakika 1 kabla ya saa sita usiku)