FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Ni kweli niliota ndoto ya kweli kama ya dakika tatu hivi nilikuwa juu ya pango lililopo ktk jiwe moja refu mlimani ukiwa juu ya jiwe kuna pango, sasa nilikuwa katika hali ya Umalaika nikamwona mwanafunzi wa shule ya msingi anapita basi nilipaa toka juu ya pango like kwa kasi nikamfikia tukaanza kuongea.
Kusema kweli furaha niliyokuwa nayo kwa kupaa kule ni Muumba tu ajuae.sasa sijajua ndoto ile ilimaanisha nini imekuwa miaka minne sasa imepita tangu niiote.
Kusema kweli furaha niliyokuwa nayo kwa kupaa kule ni Muumba tu ajuae.sasa sijajua ndoto ile ilimaanisha nini imekuwa miaka minne sasa imepita tangu niiote.