deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 521
Haijaandikwa imenakiliwa
Unwritten constitution ni katiba ambayo haipo kwenye walaka mmoja kama ilivyo katiba ya Tanzania na nchi nyingine nyingi ambazo muongozo wa nchi upo kwenye booklet moja.Ahsante,kwahiyo ya uk ikoje haswa, nilisikia maneno hayo yakitamkwa kua haijaandikwa nisaidie hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui inapatikanajeAksantee,jee iliandikwa kwa mfumo shirikishi km mchakato ulivyokua mchakato wa katiba mpya hapa bongo ulivyokua katiba pendekezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam hata mie natamani nifahamu hilo ajabu wadau hawafunguki vizuri aiseeSijui inapatikanaje
Unwritten constitution ni katiba ambayo haipo kwenye walaka mmoja kama ilivyo katiba ya Tanzania na nchi nyingine nyingi ambazo muongozo wa nchi upo kwenye booklet moja.
Hivyo kwenye katiba isiyoandikwa kuna kuwa na documents mbalimbali zenye kuelezea utaratibu wa kuendesha nchi husika.
Hazina mdomo hivyo hazina uwezo wa kusema.Hizo documents zilizotapakanya sehemu mbali mbali zinasema kwamba zenyewe ni Katiba?
Ni declaration tofauti fofauti za house of common, house of lords kwa umoja wao ndo inatoka katiba ya uk.Sijui inapatikanaje