Nilisikia kwamba eti...

Shetani anakua kazini aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]
shetani anakuwaga kazini kweli maana ukishika biblia tu kosa ila nasikia eti kwenye muvi huwa watu hawa sleep sijui na wewe ni mmoja wao.
 
shetani anakuwaga kazini kweli maana ukishika biblia tu kosa ila nasikia eti kwenye muvi huwa watu hawa sleep sijui na wewe no mmoja wao.
We pigia picha mda mwingine unaweza angalia movies hadi sa kumi alfajiri ila kwenye mkesha kanisani, saa tano tu usiku unadonoa ile mbaya.
 
Nilisikia kwamba eti jua likiwaka na mvua inanyesha simba anazaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…